Jumanne , 26th Mar , 2024

Konde Boy Harmonize yupo tayari kupambana uliongoni na Bondia yeyote ‘Professional’ ambaye ataweza kuweka mezani Dola Laki 1 sawa na Tsh Milioni 255.

Picha ya Harmonize

Zaidi tazama hapo chini kwenye video.