Jumatatu , 2nd Oct , 2023

Msanii wa Bongofleva Harmonize ameweka wazi hisia zake za kimapenzi kwa msanii Hamisa Mobetto baada ya kumwambia anampenda mbele ya mashabiki akiwa anafanya show jijini Arusha. 

Picha ya Harmonize na Hamisa Mobetto

Zaidi bonyeza hapo chini kusikia alichosema Harmonize kuhusu Hamisa Mobetto.