Alhamisi , 28th Mar , 2024

Bondia Karim Mandonga 'Mtu Kazi' ameibuka kutaka pambano na mwanamuziki Harmonize ambaye amesema yupo tayari kupanda ulingoni na bondia yeyote Professional kwa dau la Tsh Milioni 255.

Picha ya Mandonga na Harmonize

Mandonga anasema "Nataka kumpiga Harmonize atulie.Yeye anajiita Tembo mimi nataka nikate mkonga".

Tazama hapa kwenye video Mandonga akitamba kumchapa Harmonize.