Jumatatu , 25th Mar , 2024

Rapa Drizzy Drake ame-make headlines mitandaoni akitamba kuwa hakuna mtu anayeweza kumshinda hapa duniani.

Picha ya Drake

“Nina kichwa changu juu, mgongo wangu umenyooka, niko imara kwa vidole vyangu vyote vya miguu. Na najua bila kujali nini, hakuna mtu mwingine yeyote duniani anayeweza kunishinda” - amesema Drake kupitia Tour yake ya It’s all a Blur Tour.

Drake amesema hivyo baada ya Kendrick Lamar kum-diss kwenye ngoma mpya ya ‘Like That’ ambayo ameshirikishwa na Future.