Great Eddy alivyosugua The Industry

Jumanne , 4th Mei , 2021

The Great Eddy wa The Industry 'record label' ilimchukua zaidi ya miaka mitano kukaa benchi akipikwa kabla ya kutambulishwa rasmi kwenye game.

Msanii Great Eddy

Wiki iliyopita tulimtambulisha msanii mpya anaitwa the great Eddy, ni msanii ambaye tumemtengeneza for a long time, tumekuwanae karibu kunzia mwaka 2015/16 mpaka hivi sasa tumeona ni muda sahihi wa dunia kuweza kumtambua”, amesema Nareel

Mei 14, msanii huyo anatarajia kuachia EP yake ya kwanza “Small Bad Wolf”, huku tayari akiwa ameachia wimbo wa kwanza “Girl from Ghana”.

Pia The Industry wanatarajia kuwatangaza wasanii wengine waapya watatu.