Jumamosi , 15th Mar , 2014

Wasanii wanaounda kundi la Goodlyf kutoka nchini Uganda, Moze Radio pamoja na Weasel TV, baada ya tetesikuvuma sana juu ya kundi lao kuelekea kuvunjika hivi karibuni, wameibuka na kukanusha uvumi huu huku wa

Wakati akitolea ufafanuzi swala hili, Weasel amesema kutokuwa pamoja na Moze wakati wote haimaanishi kuwa wametengana, na haiwezekani wao kuwa pamoja tu wakati wote wakati kuna wakati wanatakiwa kukamilisha mambo yao binafsi katika sehemu na wakati tofauti.

Katika mahojiano haya pia swali kwa Moze kuhusiana na ujauzito wa sasa wa Lilian Mbabazi lilihusika ambapo msanii huyu aliwakwa na hasira na kutaka vyombo vya habari kutokufuatilia maisha yake ya kifamilia bila kutoa taarifa zaidi.