Jumatatu , 12th Dec , 2016

DJ mkongwe nchini ambaye amepata Tuzo ya Heshima katika tuzo za EATV, ametaja sababu kubwa inayorudisha nyuma muziki wa kitanzania kuwa ni pamoja na kukatishana tamaa, na kutopendana, huku akitoa maoni yake kuhusu 'team za ushabiki' katika muziki

DJ Bonny Love (wa pili kushoto) akipokea tuzo yake ya heshima

Bonny ametoa kauli hiyo mara baada ya kupokea tuzo yake, na kusema kuwa anatamani kurudi kwenye 'game' ili arekebishe baadhi ya mambo ambayo ni kama 'jipu' kwenye muziki.

Pia ameelezea umuhimu wa ma-DJ katika kuinua muziki wa Tanzania na kutaka wazidi kuthaminiwa.

Mtazame hapa DJ Bonny Love akifunguka

 

Tags: