Picha ya Davido
Davido ametamba kuingiza Dola Milioni 1 kwa siku sawa na Tsh Bilioni 2 ya shabiki kumdhihaki kumuita 003 kwa kununua cheni yake ya thamani ya 001.
"Natengeneza zaidi ya dola milioni moja kwa siku, vipi wewe siku yako" Davido
Achana na show anazopiga na kujaza uwanja mataifa ya nje, achana na pesa alizopewa na baba yake, achana na mijengo yake na ndege yake binafsi anayoimiliki kwa Davido bado anatuaminisha pesa kwake inaongea.