Jumatatu , 13th Nov , 2023

Mchekeshaji na muigizaji Clam amezua gumzo baada ya kufunguka utajiri wake ambao anaingia zaidi ya Tsh Bilioni 2 kupitia kazi zake za sanaa.

Mchekeshaji Clam

Zaidi tazama hapa kwenye video akiweka wazi hilo akipiga story na Planet Bongo ya East Africa Radio.