Picha msanii Burna Boy
Burna ame-share picha na video mbalimbali za uthibitisho wa kupokea Tuzo hiyo kwenye mtandao wa instagram mapema leo na kuacha ujumbe unaoashiria ni kiasi gani ana furaha na kumshukuru Mungu.
Gwiji huyo maarufu wa Afrika ndiye mshindi wa kwanza wa tuzo ya Afrobeat kutoka Nigeria.