Alhamisi , 28th Mar , 2024

CEO wa Kondegang Music Worldwide Harmonize anasema ni bora apigwe na mchumba wake Poshy Queen kuliko kupigwa na bondia Hassani Mwakinyo.

Picha ya Harmonize na Hassani Mwakinyo

"Bora nipigwe na mchumba angu sio wewe Hassani” - Harmonize akimjibu Bondia Mwakinyo kwenye Charts zao za Instagram (DM).

Hiyo imekuja baada ya Harmonize kusema yupo tayari kupambana uliongoni na bondia yeyote Professional kwa Tsh Milioni 255.

Tazama hapa chini kusikia Mandonga akitaka kupigana na Harmonize.