Staa wa muziki nchini Black Rhino
Rhino ameimabia enewz kuwa ameamua kufanya hivyo ili kuweza kuwapa mashabiki wake nafasi ya kuimba wimbo wake huo mpya ambao hivi sasa anafanya mchakato wa kutoa video yake.
Staa wa muziki Black Rhino ametoa video itakayokuwa maalum kwa mashabiki wake wote wanaomfuatilia kuweza kuimba kwa kusoma mashairi ya nyimbo yake mpya iliyobatizwa jina la 'Time ya kumake Doo'.