
Picha ya Msanii Ben Pol
Kwenye project hii Ben Pol ameimba chungu na tamu za mapenzi, kuvunjika moyo, kuwa mraibu kutokana na mahusiano na majuto kwa kutopewa nafasi ya pili ya kurekebisha makosa kwa mpenzi wake.
B imeundwa na nyimbo kama "For you, Unaita, Warira na Kisebusebu" ambazo zimetayarishwa na Chatta Vintage, Jaco Beatz na O Righty