
Picha ya Mzee Misheck Nyandoro na watoto wake
Mzee huyo wa miaka 66 amesema ameanza style hiyo ya kuoa wake wengi kuanzia 1983 amesema ndoto yake ni kuwa na wake 100 na watoto elfu 1, na ndoa yake ya 17 itafanyika majira ya kiangazi.
"Ninachofanya ni kumalizia project yangu niliyoanzisha mwaka 1983, sitaacha mpaka kifo kinichukue, sasa hivi najiandaa na ndoa yangu ya 17 itafanyika majira ya kiangazi, watoto wangu wananisaidia wananipa pesa na zawadi"
"Kila mmoja wa wake zangu hunipikia kila siku, lakini kanuni ni kwamba mimi hula chakula kitamu tu, ambacho nitaona chini ya kawaida hutupiliwa mbali wanajua sheria, waliahidi kutokasirika wakati nitapeleka chakula chao kwao. Chochote kinachorudishwa kinapaswa kuwa somo linalowasaidia kuboresha" ameongeza
Aidha mzee huyo amesema kwa usiku mmoja hutumia angalau kulala na wake zake wanne kati ya 16 kwa usiku mmoja.
Chanzo : Fr24 New na Tuko News.
Jionee Ugomvi wa Nay wa Mitego na Mama mtoto wake, bonyeza hapa kutazama