Picha ya msanii Alikiba
Kupitia akaunti yake ya twitter Alikiba ameandika kwamba "Nafikiria kuachia Album nyingine 2022".
Siku ya Oktoba 7, 2021 Alikiba aliachia Album yake ya 3 'Only One King' ikiwa na ngoma 16 ambayo inafanya vizuri kwenye platform mbalimbali za muziki.