ALY CHOKI
Akinzingumza ndani ya eNewz Choki amesema “Mara nyingi siwezi kuamnini kuwa mziki wa Band unaweza kufa ila kuna misimu tu mibaya inapita, hasa kwa kuwa wafanyakazi wapya katika media ni kizazi kipya hivyo huwa wanawasahau wasanii wa dansi ambao wengi ni wasanii wa kitambo”.
Pia kiniliondoka kwenda Kenya nilikaa miaka mitano na kipindi kile mziki wa Band ulishuka na wakati huo ndo Tv hizi kulikuwa zimeanza kuenea Bongo hivyo kupunguza soko la watu kwenda hata disco, Alimalizia hivyo Alli Choki.




