Jumatatu , 31st Oct , 2022

Msanii wa Kings Music Abdukiba amesema bado Killy na Cheed wana nafasi kwenye game na mashabiki wanawahitaji hivyo wasikate tamaa baada ya wasanii hao kutoka lebo ya Kondegang ya Harmonize. 

Picha ya Abdukiba kushoto, kulia ni Harmonize, Killy na Cheed

Pia akizungumzia uwezekano wa wasanii hao kurudi Kings Music Abdukiba amesema ni suala la uongozi japo wakiamua kurudi kufanya mazungumzo watawasikiliza.

Zaidi tazama hapa chini Abdukiba akielezea zaidi uwezekano wa Killy na Cheed kurudi Kondegang.