
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Dkt, Jim Yonazi akizungumza na Mhandisi wa TANESCO, Richard Kafura Wakati akikagua mfumo wa ujenzi wa miundo mbinu ya Umeme katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Utalii, Xiana Mendez akiwa na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba

Picha ya Mohbad na kufukuliwa kwa mwili wake

Picha ya Ramadhan Brothers ndani ya Americas Got Talent

Mkuu wa mkoa wa Geita, Martin Shigella (kushoto) akiteta jambo na Meneja Mwandamizi wa GGML anayeshughulia mahusiano ya jamii, Gilbert Mworia (katikati) katika viwanja vya Bombambili Geita kunakofanyika maonesho ya teknolojia ya madini Geita. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi.