Picha ya 50 Cent
Rapa huyo na muigizaji anasema “Nadhani mwaka huu ni mwaka wangu, nipo makini nina project kubwa ambao nimewahi kuuchukua. Nipo tayari tufanye kazi”.
Kwa upande wa staa wa Kenya #VeraSidika ameweka wazi kuwa mwaka huu anataka kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na Mungu.