Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Watatu wahukumiwa kwa kuisababishia hasara TANESCO

Ijumaa , 20th Nov , 2020

Watu watatu wamehukumiwa kwenda jela miezi sita  au kulipa faini ya laki mbili kwa kila mmoja kwa kosa la kulisababishia shirika la umeme Tanesco hasara ya zaidi ya milioni 15.

Watu hao ni Gaston Masika, Gerald Constantine, Freeman Shirima, ambao wamekiri kutenda kosa hilo baada ya kusomewa shtaka linalowakabili mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Cassian Matembele, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam.

Hakimu Matembele, amesema  kwa kuwa washtakiwa  hao wamekiri kutenda kosa hilo na kuingia makubaliano na Serikali ambapo wametakiwa kulipa fidia ya shilingi milioni 15,803,000.

Washtakiwa hao wanadaiwa kati ya Februari 2016 na Agosti 2020  katika eneo la Mwenge barabara ya Sam Nujoma, Jijini Dar es salaam kwa kukusudia waliingilia mita ya Tanesco na kuisababishia hasara ya milioni 15,803,000.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala