
Hayo yameelezwa na mkuu wa wilaya ya Muleba Bw Richard Ruyango wakati wa uzinduzi rasmi wa kitabu cha wanafunzi ambao ulifanywa na mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Salmu Mustafa Kijuu zenye lengo la kutokomeza mimba za utotoni na maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi.
Mkuu huyo wa wilaya ameelezea matatizo yanayochangia matatizo yanayochangia mimba za utotoni ni pamoja na uwajibikaji mdogo wa wazazi wa watoto wenye wanafunzi kuwafichia siri wanaowapa ujauzito.
Kufuatia tatizo hilo mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Salmu Mustafa Kijuu ameagiza viongozi kuanzia ngazi ya vijiji katika mkoa huo kuunda kamati ambazo zitakua zinashirikiana na club za wanafunzi zinazoundwa katika kutokomeza vitendo hivyo.
________________
Kumpigia KURA msanii unayempenda kwenye #EATVAwards Bofya hapa https://www.eatv.tv/awards