Waziri wa Afya Ummy Mwalimu
Ummy ameyasema hayo leo Februari 29, 2020 kwenye mkutano na waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam, ambapo ametoa takwimu mbalimbali za ugonjwa huo kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
Aidha Ummy ameshauri watu wasisalimiane kwa kushikana mikono pamoja na matendo mengine yanayohusisha kugusana kama kupigana busu, wakati huu wa tishio la maambukizi ya homa inayosababishwa na virusi vya Corona.
Zaidi tazama Video hapa