Jumapili , 23rd Mei , 2021

Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu, ameongeza muda wa kuomba ajira za walimu na watumishi wa afya kwa siku tano zaidi.

Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu

Ummy amesema Walimu na Kada mbalimbali za Afya ambao walishindwa kuomba ajira kwa sababu yoyote wameongezewa muda kutoka Mei 23 ambao ulipangwa awali hadi Mei 28, 2021.

Soma zaidi hapa