
Katika album hiyo Olamide moja ya jina kubwa linalipotaikana katika album hiyo ni jina la Legend producer/Rapper Dr Dre ambaye amesikika kwenye ngoma namba 9 Indika jambo ambalo limewavutia wadau wengi wa muziki duniani kuona jina la Legend huyo katika album hiyo.
Dr Dre amekuwa kivutio zaidi katika Album hiyo kwanza kusikika akichana kwenye muziki aina ya Afro beat,lakini pia kutokana na ukubwa wake katika Tasnia ya muziki duniani.
Majina mengine yanayopatikana katika labum hiyo ni pamoja na Wizkid Asake Spinal Young John na mengine mengi