Nembo ya Tume ya Uchaguzi (NEC).
Uteuzi huu umefanyika leo baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya serikali za Mitaa ambaye kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya serikali za Mitaa, Sura ya 292 aliitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi uwepo wa nafasi hizo zilizokuwa wazi.
Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu walioteuliwa ni kama ifuatavyo: