Jumamosi , 26th Aug , 2023

Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Mke wake Janet Museveni wanasherehekea miaka 50 ya ndoa yao leo.

 

Sherehe zimepangwa kufanyika katika Wilaya ya Ntungamo. Wafalme wanne, malkia kutoka Nigeria pamoja na watu wengine mashuhuri wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hizo.