
Raila Odinga, Mgombea Urais nchini Kenya
Baba yake aliwahi kuwa Naibu Rais wa Kenya baada ya uhuru, Raila amekua akijulikana kwa majina kadhaa na wafuasi wake huku jina maarufu akiitwa Baba. Majina mengine ni "Agwambo" (ikitafsiri Matendo ya Mungu) pamoja na Tingatinga (jina allilowahi kuitwa hayati Rais Dkt. John Magufuli).