Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nassari amjibu Polepole

Jumanne , 26th Sep , 2017

Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nassari amefunguka kwa kumjibu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole kwamba amemsikia alichokizungumza na kuahidi akirudi Tanzania ataweka ukweli wote hadharani

Nassari amebainisha kupitia ukurasa wake maalum wa facebook jioni ya leo baada ya kusikia kauli kutoka kwa Humphrey Polepole ikidai kama kweli viongozi wa upinzani wanaushahidi wa rushwa ama kununuliwa madiwani waliohamia CCM wakitokea CHADEMA basi wanapaswa kuweka hadharani kwa kutaja hata majina ya wahusika na sio kulingishia.

"Nimemsikia ndugu Polepole. Nipo Nairobi, nikirejea tu nyumbani Tanzania nitaweka hadharani ushahidi huu, usiokuwa hata na chembe moja ya shaka. Ili tuone kama kweli CCM itachukua hatua kwa wateule wa rais", ameandika Nassari.

Hayo yote yamekuja baada ya kupita takribani siku mbili tokea mbunge Joshua Nassari kudai ana ushahidi usiotia shaka juu ya madiwani ambao wamepokelewa na Rais Magufuli wakati alipokuwa katika ziara yake mkoani Arusha kuwa wamenunuliwa na kupewa rushwa na siyo kwamba wamehama kwa lengo la kukubali kazi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano. 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala