Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mwili wa mtu waokotwa barabarani akiwa amefariki

Jumatatu , 1st Apr , 2024

Mwili wa mtu mmoja ambaye haujafahamika jina umeokotwa akiwa amepoteza maisha pembeni mwa barabara inayoelekea Dodoma kutoka Kiteto eneo la Kijiji cha Partimbo.

Mwili wa mtu ambaye hajafahamika kwa haraka ukiwa pembezoni mwa barabara

Mwenyekiti wa Kijiji cha Partimbo Kimirey Masiaya amethibitisha kifo hicho akisema hakuna mtu aliyetambua mwili huo na kwa sasa umehifadhiwa chumba cha kuhifadhi maiti Hospitali ya wilaya ya Kiteto.

EATV imezungumza na baadhi ya mashuhuda ambapo mmoja wa shuhuda aliyeshuhudia mwili huo amesema majira ya asubuhi wakati wanapita na mifugo kwenda kunywesha maji walimuona yule bwana yuko pale na haikuwa rahisi kumsogelea hivyo walimwangalia na wakapita kwa mbali.

"Tulijaribu kumwita hakuitika tukiwa na mifugo tukawaacha watu hapo wakapiga simu Polisi wakati tunarudi na mifugo tukakuta Askari Polisi tukawapa ushirikiano lakini ni mtu ambaye hatumjui" amesema Baraka sisime   

"Niliambiwa mtumishi kuna mtu kalala barabarani njoo ikabidi niende tukamwona mtu amejikunja amelala nilipomwangalia nikaona ni mtu amefariki nikawaambiwa watu watoe taarifa kituo cha polisi wakaja kushuhudia lakini hatujajua sababu ya mtu yule kufa" amesema Hezeroni Kirura Mchungaji wa Kanisa

"Mimi nilikuwa napita tu hapa wakati natoka nyumbani huko juu wakati naenda kijiweni kufika hapa nikaona watu wamejaa kuangalia nikaona Polisi walikuwepo wakasema kuna mtu amefariki"Joseph  yohana Mwananchi Partimbo

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala