Muswada mmojawapo ni wa sheria ya Petroli
kuujua kwa undani muswada huo, fungua kiambatanisho hapa chini
Licha ya kutokuwemo kwa wabunge wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, bunge leo limenza kujadili miswada mitatu inayohusu mafuta na gesi baada ya miswada hiyo kuwasilishwa na mawaziri husika.
Muswada mmojawapo ni wa sheria ya Petroli
kuujua kwa undani muswada huo, fungua kiambatanisho hapa chini