
Mtoto asiye wa kawaida
Mama wa mtoto Rahel Anderson (24), amesema mtoto wake amezaliwa na kg 2 na amedai kwamba amekuwa akihudhuria kliniki bila shida na kipindi chote hakuwa na tatizo lolote
Wazazi wa mtoto huyo walikuwa wanaishi Itiso mkoani Dodoma na kwamba alifika Engusero kujisubiria kujifungua ambapo hata hivyo alijifungulia nyumbani.
Mtoto huyo atazikwa hii leo.