Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Msigwa amjibu RC Iringa, adai alikuwa anafurahisha

Alhamisi , 22nd Aug , 2019

Mbunge wa Iringa Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Peter Msigwa, amesema Mkuu wa Mkoa huo Ally Hapi hana mamlaka ya kumuagiza chochote kwani yeye anapokea maagizo kutoka kwa wananchi.

Picha kubwa ni Peter Msigwa na picha ndogo kushoto ni Ally Hapi.

Hayo ameyabainisha leo Agosti 22 wakati akizungumza na EATV&EARadio Digital, ikiwa ni baada ya RC Hapi kumtaka aitishe mkutano jimboni kwake ili awape wananchi taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM.

''Hapi anawezaje kuniagiza mimi, yeye kama nani, mimi naagizwa na wananchi, yeye hana mamlaka ya kuniagiza chochote labda mngemuuliza yeye ananiagiza kwa mamlaka ipi, hicho ni kitu hewa yeye si bosi wangu na wala hana hayo mamlaka kisheria, alikuwa anafurahisha genge tu'' amesema Msigwa.

Kwa mujibu wa RC Hapi, amedai kuwa CCM imefanya mambo makubwa Mkoani humo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa stendi ya mabasi, lakini wananchi wamekuwa hawapewi taarifa hizo.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala