Jumamosi , 4th Jul , 2015

Licha ya kutokuwemo kwa wabunge wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, bunge leo limenza kujadili miswada mitatu inayohusu mafuta na gesi baada ya miswada hiyo kuwasilishwa na mawaziri husika.

Muswada mmojawapo ni wa usimamizi wa mapato yatokanayo na mafuta na gesi.

kuujua kwa undani muswada huo, fungua kiambatanisho hapa chini

Attachment: