Waziri Hamisi Kigwangalla.
Kigwangalla amesema hayo kupitia ukurasa wake wa kijamii 'twitter' baada ya ile ripoti ya mchanga wa madini (makenikia) kuwa na udanganyifu wa viwango na aina za madini yaliyomo katika mchanga huo unaosafirishwa kuenda nje za nchi.
"Ni ngumu sana kuamini kwamba wasomi wetu hawakuwa wanajua kwamba tunaibiwa....Wabunge tulisema tukaonekana mbumbumbu" -Aliandika Kigwangalla.

Ujumbe wa Waziri Kigwangalla.



