Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi
Aidha Makamu huyo amewataka Watanzania wanaotoka nje ya nchi kutii agizo hilo pindi wanapoingia ndani ya nchi kwa kujitenga wenyewe kwa muda ili kukinga maambukizi hayo.
Tazama video kamili apo chini.






