Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Madereva wabuni mbinu ya wanaokataa kuvaa 'helmet'

Ijumaa , 19th Jul , 2019

Baadhi ya abiria wanaotumia usafiri wa bodaboda mkoani Njombe wamekuwa wakigoma kutumia usafiri huo kwa sababu ya kuepuka uchafu wa kofia ngumu wanazopewa madereva.

Dereva na abiria

Kufuatia suala hilo, uongozi  wa Umoja wa Waendesha Bodaboda mkoani Njombe umewataka madereva wanaosafirisha abiria kuhakikisha wanachukua hatua stahiki kwa abiria wanaokataa kuvaa kofia hizo ili kulinda usalama wao.

Imeelezwa kuwa baadhi ya abiria mjini Njombe wamekuwa hawapendi kuvaa kofia ngumu wakati wakisafiri na bodaboda kwa madai kuwa  madereva wa vyombo hivyo hawazingatii usafi wa kofia, suala ambalo Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda mkoani humo, Philimon Mwinuka amelitolea maelezo.

"Akifika abiria mkaribishe vizuri, akikataa kofia ngumu we usibishe, mbebe nenda naye barabarani lakini madereva wenzako wawe wanajua ili hata kama ukikamatwa basi utaeleza ukweli na wenzako watakuwa mashahidi, ili mzigo uwe kwake", amesema Philimon.

Baadhi ya madereva wa Bodaboda mjini Njombe walioshiriki mkutano ulioitishwa na uongozi wa waendesha bodaboda, wametoa kilio kwa wauzaji wa pikipiki kuhakikisha kofia zinazopendekezwa zinapatikana kwa wingi. Naye Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Njombe, Jane Warioba akiongoza mafunzo ya matumizi ya namna ya kuvuka vivuko vya watembea kwa miguu, amesema kila dereva anayeendesha chombo cha moto wakiwemo anapaswa kutii matumizi ya alama za barabarani ikiwemo kuzingatia uvaaji wa kofia ngumu.

 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto