Jumamosi , 1st Oct , 2016

Madaktari bingwa wa tiba na wataalamu wa mifugo wamesema ugonjwa wa kifua kikuu kwa wanyama ambao unasambaa kupitia chakula ni tishio kwa afya ya binadamu kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa.

Ugonjwa huo unawewza kuwa hatari zaidi na kuwa vigumu kuutibu kuliko ugonjwa wa kifua kikuu wa binadamu na kuainisha kuwa maziwa ya mifugo ni moja ya chanzo cha maambukizi ya ugonjwa huo kwa binadamu.

Wakati shirikisho la Afya duniani WHO limeazimia dunia kuwa huru dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu ifikapo mwaka 2035. lakini limetahadhjarisha kuwa ugonjwa wa kifua kikuu wa wanyama umepuuzwa kwa iongo kadhaa.

Madaktari Mabingwa wa tiba na wataalamu wa mifugo wamesema ugonjwa wa kifua kikuu kwa wanyama ambao unasambaa kupitia chakula ni tishio kwa afya ya binadamu kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa.

Ugonjwa huo unaweza kuwa hatari zaidi na kuwa vigumu kuutibu kuliko ugonjwa wa kifua kikuu wa binadamu na kuainisha kuwa maziwa ya mifugo ni moja ya chanzo cha maambukizi ya ugonjwa huo kwa binadamu.