Jumanne , 12th Dec , 2017

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameufuta mchakato wa Kura ya Maoni uliotumika kumpata mgombea wa Ubunge, Jimbo la Singida Kaskazini, kutokana na wagombea kujihusisha na vitendo vya Rushwa

Katika taarifa iliyotolewa na CCM imesema kwamba imewazuia Haider Gulamali na Elia Mlangi kugombea nafasi ya ubunge Singida Kaskazini kutokana na kujihusisha na rushwa