
Rais ameyasema hayo leo kwenye Ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoriki la Dodoma.
"Nawaomba viongozi wa madhehebu yote ya dini tuendelee kuliombea Taifa letu liwe na amani na upendo na Serikali itashirikiana nanyi muda wote", imeeleza taarifa kutoka Ikulu.
Taarifa ya Ikulu.