
Wakili Dickson Matata amesema tayari amepigiwa simu kutoka kwa uongozi wa Polisi Oysterbay - Dar es Salaam wakimtaka afike kwa ajili ya taratibu hizo
"Muda huu nimepigiwa simu na uongozi wa Polisi Oysterbay -Dar es Salaam wakinijulisha kuwa Dr. Willibrod Peter Slaa wamemtoa Mbeya usiku na wako naye kituoni hapo. Hivyo nifike kwa ajili ya kufanya utaratibu wa dhamana yake" amesema wakili Dickson Matata