Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Dorothy Semu Kaimu Mwenyekiti ACT Wazalendo

Jumatatu , 22nd Feb , 2021

Chama cha ACT  Wazalendo kimemteua Dorothy Semu kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho Kitaifa  kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Chama hicho kitaifa Maalim Seif Hamad kilichotokea tarehe 17/02/2021.

Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, Salim A. Bimani amesema uteuzi huo ni kwa mujibu wa Ibara ya 84(3) na (4) ya Katiba ya ACT Wazalendo ya Mwaka 2015 Toleo la Mwaka 2020.

Ibara 84(3) imeeleza kuwa iwapo Mwenyekiti wa Chama hayupo kwa sababu yoyote ile, Makamu Mwenyekiti ambaye anatoka upande mwengine wa Muungano tofauti na anaotoka Mwenyekiti na kama makamu mwenyekiti aliyetajawa hayupo mwenyekiti alioyebaki atakaimu nafasi ya uenyekiti.

Aidha, kwa kuzingatia Ibara ya 84(4) ya Katiba ya ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu ataendelea kukaimu nafasi hiyo kwa kipindi kisichozidi miezi kumi na mbili (12) hadi pale Mwenyekiti Mpya atakapochaguliwa na Mkutano Mkuu Maalumu wa Taifa.

Dorothy Semu kabla ya kukaimu nafasi hiyo alikuwa Makamu Mwenyekiti Bara  Chama cha ACT Wazalendo.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto