Gari iliyopata ajali
Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Aprili 18, 2022. Tarifa zaidi zinafuata.
Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika, anadaiwa kukatika miguu yote miwili baada ya gari lake kugonga mnazi katika eneo la Tuangoma Kigamboni mkoani Dar es Salaam.
Gari iliyopata ajali
Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Aprili 18, 2022. Tarifa zaidi zinafuata.