Wild Corrida Slot: Ijaribu Bure kwenye Meridianbet

Jumatano , 14th Oct , 2020

Unataka kutembea kwenye viatu vya bullfighter? Jaribu slot ya mtandaoni ya Wild Corrida kutoka Expanse Studios na utakuwa ukimsaidia wild bull.

Wild Corrida Slot – Siku moja kwenye maisha ya Bullfighter

Slots za Expanse Studios zimekuwa na matokeo mazuri. Kuna slots kama Piggy Party, Maya’s Treasure au Fairy in Wonderland. Safari hii, expanse wameamua kuingia kwenye eneo lingine ambalo ni Wild Corrida.

Kama jina linavyosadifu, ni mchezo ulitokana na utamaduni wa bullfighting. Wakati ambapo wengine wanauona ni mchezo wa vurugu, unapendwa sana Hispania hasa Seville ambapo ndipo ulipoanzia. Utamaduni ni kitu kikubwa kwa watengenezaji wa slot lakini Expanse wameenda mbali zaidi.

Mchezo wenye namna 5 na njia 178 za ushindi, slot ya Wild Corrida inakuweka kwenye viatu vya bullfighter kwa siku moja. Ni namna nzuri ya kuonesha maisha ndani ya corrida na sifa za Expanse. Kama umevutiwa na hilo, karibu na ujaribu slot ya Wild Corrida bure au kwa kuweka pesa hali kwenye kasino ya Meridianbet.

 

Bullfighers wapya na wamsimu, wanakaribishwa

Slot hii inachezwa katika mtindo wa 4x5 na una namna 178 za kucheza. Ili kutengeneza mchanganyiko wa ushindi, alama za pembeni ya reels lazima zikutane kwenye kona au pembe. Kwa upande wa picha, studio za Expanse zimefanya kazi nzuri kwenye mashine ya Wild Corrida slot. Wahusika wamepewa sifa ya katuni na wanaonekana vizuri zaidi.

Sauti imeendana vizuri na picha, muziki wa kihispania umepambwa na mingurumo ya ng’ombe dume pamoja na sauti za mashabiki. Kwa lugha rahisi, slot ya mtandaoni ya Wild Corrida itakufanya ujione umefika Seville kwa muda mfupi.

 

Sifa za kipekee za bullfighting

Slot ya Wild Corrida inaweza kuonekana kama ni mashine nyepesi, lakini unaweza kukitathimini kitabu kwa kuangalia kava lake? Slot hii imejaa sifa za kipekee, kila sifa ina ng’ombe dume au bullfighter asiye muoga.

Ng’ombe dume wa dhahabu inaashiria alama zote kasoro ng’ombe mwitu na bullfighter. Mwanzo mwa mchezo, wild inapatikana kwenye reel ya 2, 3 na 4 pekee. Sifa zingine za kipekee zinaweza kutokea popote.

Sio kila sifa inahusiana na ng’ombe dume. Bullfighter pekee anakuzawadia mizunguko 3 ya kujirudia pale ambapo 3 itatokea kwenye corrida. Pia, kama kuna ng’ombe mwitu kwenye reels, ng’ombe dume ataondoka na sifa ya Wild inaonekana. Ikifikia hapa, ng’ombe mwitu atapambana na bullfighter mpaka atakapo mshinda.

Malipo ya ushindi yanafanyika pale ambapo hakuna bullfighters aliyebaki na yanazidishwa kwa thamani ya pesa yako.

 

Slot itakayo kufurahisha!

Slot hii ya Expanse Studios inaweza kuwa ndio toleo lao bora zaidi mpaka sasa. Ni slot inayonogesha zaidi furaha ya corrida. Wakati ambapo mchezo wa kwanza ni mwanzo tu, sifa za kipekee za slot hii ni furaha zaidi. Slot inanoga zaidi pale ambapo ng’ombe mwitu anaanza kupambana na bullfighter, kama ilivyouhalisia wa corrida.

Cheza Wild Corrida slot kwenye kasino ya Meridianbet Bure au kwa kuweka pesa halisi. Kwa faida ya 96.30% anayorudishiwa mchezaji, unaweza kujipatia pesa zaidi.