
Picha ikionyesha namna unaweza kuhamisha data na chats za WhatsApp
Mtumiaji atachomeka waya huo katika iPhone anayotaka kuhamisha data za WhatsApp na simu ya Google Pixel kisha atapewa QR Code ya ku-‘scan’ na maelezo na baadae WhatsApp itahamisha data zote kwenda katika simu ya Android.