Mange Njile
Mange Njile toka mji mdogo wa Lalago, Holla kwa wanangu kutoka Lalago nawapenda, nawanjali nawathamini nawakumbuka sana hapana chezea enewz, utazimwa kama mshumaaa.
Muddy Best
Hii wadau wa eNewz, naitwa Muddy Best, katibu team wajanja classic Tabora . Holla kwa member wote wa wajanja clasic young waleo , stanley mwani ,shadrack mafie ,samwel mahona,MUDDY CHAZ na Adija Wa Tabora.
Franklyn Platinumz
My name iz Franklin Platinumz all the way from Kinondoni Dar es salaam, i am watching eNewz all the time, Holllllaaahhh!.
Robert
Hi eNewz, naitwa Robert kutoka Arusha, nawapenda wote wana East Africa, tafadhali tuendelee kuangalia EATV.