Enock Lywabuhanga
Naitwa ENOCK LYABUHANGA wa Musoma, nawapa hallo 5 Baba yangu MASATU LYABUHNGA popote alipo. HALLO 5, Chezea eNewz wewe, utadeki bahari.
James Katobasho
Hallo eNewz, James Katobasho hapa, pande za Green City, nawapa hii sana Joackim, Obed, Bila kumsahau mama yangu mpendwa. Hollaaaa.
Mangala Boy
Helloow wale woote wanaoangalia eNewz kipindi cha wajanja waambie kuwa nao niwajanjaa, Halaa 5 kwa washikaji woote waliomaliza form 4 2009 Bangwe sec school pande za Kigoma town, call mi Mangala Boy, Hala 5.
Mannin Fran
EATV mnatisha ile sana, fulu burudani, wengine wavute mikia. Nawapa Hi watu wote wa Simiyu-Bariadi, Holaaaa. Mannin Fran.