Muddy Best
Naitwa Muddy Best kutoka Tabora Town, pamoja sana ndani ya eNewz tunawakilisha Tabora, amani kwa Makala Katembo, Young Waleo, Muddy Chaz, Hollaa 5.
Makala Katembo
Naitwa Makala Katembo from Tabora, amani kwa wana wote wanao nijua mimi pia shout out kwa Muddy Best & Otto Katembo.
Juma Michael
Hi E-Newz, Call me Juma Michael Mwanaharakati Wa Nzega, Tabora! EATV ndio habari ya mjini, kaa mbali wewe ni muda wetu kuwakilisha mpaka waelewe hollaaaaa 5.
Holla 5
Hallooooooow!!! Five..... Big up kwa watu wangu wote wa Kigoma..... Dah noma xana!!!!!.