Burudani ya kikapu inaendelea hapa katika viwanja vya Mlimani City, huku zoezi la usajili wa timu likiendelea. Kumbuka hii ni Noma Kweli ya Sprite Bball Kings 2019, bado hujachelewa.
Meneja Uhusiano na Uratibu wa mashindano ya Sprite Bball Kings 2019, Barnabas Mkongwe akizungumzia jinsi zoezi la usajili wa timu shiriki linavyoendelea hapa katika viwanja vya Mlimani City.
Burudani ya kikapu inaendelea hapa katika viwanja vya Mlimani City, huku zoezi la usajili wa timu likiendelea. Kumbuka hii ni Noma Kweli ya Sprite Bball Kings 2019, bado hujachelewa.
Burudani ya kikapu inaendelea hapa katika viwanja vya Mlimani City, huku zoezi la usajili wa timu likiendelea. Kumbuka hii ni Noma Kweli ya Sprite Bball Kings 2019, bado hujachelewa.
"Mashindano ya mwaka huu yatakuwa na utofauti na mkubwa, mimi naupenda mchezo wa kikapu na nina medali yake. Tumejitolea kudhamini michuano hii ili kuinua michezo nchini" - Haji Mzee Ally, Mkurugenzi wa Umma na Mawasiliano wa Coca-Cola
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini TBF Phares Magesa akizungumza katika uzinduzi wa michuano ya Sprite Bball Kings 2019, ameipongeza EATV&EA Radio na kinywaji cha Sprite kwa kuandaa mashindano na kuomba watanue wigo kwa mikoa mingine.
"Serikali ipo pamoja na nyinyi, inatambua faida kubwa iliyopo kwenye michezo ndio maana inapoona watu wenye moyo kama Cocacola na East Africa Radio & EATV . Tunatoa pongezi sana" - Malinde Lutiho Mahona, mwakilishi Wizara ya Habari na Michezo
Hizi ndiyo jezi rasmi ambazo zitatumika katika michuano ya Sprite BballKings 2019.