Submitted by Anonymous on Alhamisi , 5th Jun , 2014
Jukwaa la Kili music tour ndani ya Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara Moshi likiwa kwenye matengenezo kabla ya tamasha siku ya Jumamosi.
Wakizi wa Moshi wakiwa wanaingia kwenye viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara Moshi.
Dj mkubwa na hatari nchini Tanzania Dj Mafuvu the turntable master kutika East Africa Radio akijipanga kuwapa burudani wakazi wa moshi.
Bi Khadija Kopa akifungua tamasha la kili music tour ndani ya Moshi.
Wanenguaji wa Khadija Kopa wakitoa shoo ya nguvu.
Mashabiki wa Moshi wakipagawishwa na shoo kali kutoka kwa wasanii
Msanii Ben Poul akiwa backstage akifanya maojiano na mtangazaji Irene Tiria wa East Africa Radio kabla hajapanda jukwaani kutoa shoo kali.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Young Killer akitoa burudani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa tamasha la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014.
Young Killer akiwapagawisha wakazi wa Moshi.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Kala Jeremiah akifanya vitu vyake wakati wa tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara
Msanii wa muziki Ney wa Mitego akitoa burudani ya aina yake wakati wa tamasha la kili music tour
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ney wa Mitego akitoa burudani ya aina yake wakati wa tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara.
Wasanii wa Jambo Squad wakifanya shoo huku wakiwa kwenye vazi la hasiri la kimasai.
Wasanii wa Muziki wa Kizazi kutoka Kundi la Jambo Squad wakitoa burundani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’
Wakazi wa mji wa Moshi wakifuatilia tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Profesa Jay akifanya makamuvu yake kewnye jukwaa la kili music tour ndani ya moshi.
Profesa Jay akiwapewa shangwe za nguvu kutoka kwa mashabiki wake wa Moshi.
Mwana FA aka Binam naye halitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki zake wa mjini Moshi.
Msanii MwanaFA akiwa kwenye jukwaa huku akisindikizwa na shabiki wake wakiwa wanaimba nyimbo maharufu sana "Yalaiti"
MwanaFA na AY wakiwapagawisha mashabiki wao wa Moshi kwa burundani kali na nguvu ndani ya viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara
Msanii Jo makini kutoka kundi la Weusi akiwa jukwaani akiwaburudisha mashabiki wao wa Moshi.
Wasanii wa kundi la WEUSI toka Arusha wakiwapagawisha kwa burundani wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa tamasha la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara
Afisa lishe kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Bw. Walbert Mgeni akifafanua kuhusu makundi mbalimbali ya vyakula na namna yanavyotakiwa kutumiaka.