Alikiba (katikati) baada ya kukabidhiwa tuzo

Mashabiki waliofika katika usiku wa EATV Awards wakiendelea kupata burudani

Lad jay Dee akiwa na Sam Misago mara baada ya kupokea tuzo yake

Fid Q (kushoto) akiwa na Bill Nas katika usiku wa EATV Awards

Gabo (Kushoto) , Ridhiwani (Kulia)